Biashara ya mikoba ya mitumba Vipi kuhusu nguo za watoto na spare za magari bei zake zikoje Search titles only By: Search Advanced search Wakuu niaje,mko poami mafanya biashara ya ladies shoes na mikoba,niko location mwanza. nafikiri nikishajionea mwenyewe nitapata ufaham zaidi kuhusu cha kufanya. Hii ni kwa sababu ni biashara nzuri kwa Marekani. Tanzania kuna urasimu na kukandamiza sana wafanyabashara kwa njia za kodi. ,jeans. Unahitaji kununua hisa ya mitumba na kupanga duka katika eneo lenye wateja. Jinsi ya Kuanzisha Biashara ya Duka la Kuuza Kufungua huduma ya car wash 3. Mwanamke huyo alilipa KSh 36,000 akitarajia kupata bidhaa za Biashara ya kuuza nguo za mitumba nchini Tanzania ni moja ya sekta zinazokua kwa haraka kutokana na mahitaji ya nguo za bei nafuu na upatikanaji wa bidhaa za ubora wa juu kutoka nje. 1. Kwa mahitaji ya mabegi na mikoba ya mtumba, yenye ubora wa hali juu na kwa bei nafuu kabisa. Maelezo mafupi kuhusu mafanikio ya shughuli Hello wana bodi, natumai wote mko poa karibuni kwenye hii thread ambayo kwa namna 1 au nyingine inaweza kukupa idea ya kufanya biashara ya kuuza mtumba: A. Ilala Boma nguo za mtumba na karume nguo za mtumba kote wapo vizuri Karume viatu Biashara ya mitumba inalipa sana ila inahitaji juhudi na ubunifu wa hali ya juu, Unaweza fanya kwa kuzunguka au hata kuweka kwenye flemu, Ni vile we we utaona inafaa Biashara ya Mitumba: Kuuza nguo za mitumba kunahitaji mtaji mdogo wa kuanzia na kunapata wateja wengi. Kuanzisha huduma ya kutoa huduma za kimtandao kama graphic design (Online services such as graphic design) 86. 00 biashara za kitaalam mitumba page 4. 00 20,000. kule wanasapoti Mabegi ya mtumba. anawafukuza wateja. kilimo cha matunda 4. Katika makala hii, tutachambua jinsi unavyoweza kuanza kuuza nguo mtandaoni kwa kutumia mbinu rahisi na ambazo hazihitaji mtaji mkubwa sana. Hii inapunguza mzunguko wa pesa ndani ya nchi, na Jinsi ya kuanzisha biashara ya nguo za mitumba yenye faidaBiashara ya nguo za mitumba ina changamoto zake na haijalishi kama unauza nguo za mitumba za wanawa Naombeni kuelimishwa kuhs hi biashara ya mitumba hasa ya nguo za watoto. Mitumba si biashara rahisi kama tunavyofikiria. Jinsi ya Kuanzisha: Mtaji: TZS 100,000 - 300,000 kwa ununuzi wa nguo za mitumba kutoka masoko kama Kariakoo au Mwanjelwa. Biashara ya kuuza viatu vya mtumba nchini Tanzania imekuwa maarufu kutokana na bei zao nafuu na ubora mzuri wa viatu vya mitumba. Ukiwa kilimanjaro, meimoria ni sehemu maarufu sana kwa biashara especially mitumba. Jinsi ya Kuanzisha Biashara ya Duka la Mitumba. 00 106 kuuza spea za viwandani 300,000. 2. Log in Register. Karibu Umewah kwenda uganda? wiseboy kosa ulilofanya hukufanya utafiti vizuri. Reactions: KIKOSIKAZI and TANMO. Oct 20, 2018 2,176 6,185. “Washirikiane na TBS kutokomeza biashara hii ya matairi ya mitumba, askari peke yake hawawezi kutokomeza kwani walengwa ni wananchi. mashine mbalimbali nk. Huwa na sifa ya kubambikia wateja vitu vibovu. 00 200,000. Shukran kwa usikivu. 3. Memoria ni sehemu ambayo by experiece wanauza mitumba kwa bei chini sana campare na mikoa mingine, hii 104 biashara ya ushirika 40,000. Juu ya namna ya kufika Uganda masoko ikiwezekana Jinsi ya kuanzisha biashara ya mitumba yenye faida- 5Biashara ya nguo ina changamoto zake na haijalishi kama unauza nguo mpya au za mitumba changamoto zake z Makala hii itachambua fursa, changamoto, na mikakati ya mafanikio katika niche ya biashara ya nguo za mitumba. Mahitaji ya Soko: Fanya utafiti wa soko ili kuelewa mahitaji ya mitumba katika eneo lako. Siku nyingine huulize kwanza maana kama haujafanya utafiti ukienda sehemu yoyote utaumizwa. Natafuta location Mwanza mjini ambayo itaendana na biashara yangu. Biashara ya mitumba ilianza rasmi miaka ya 1986, kipindi cha mkataba wa ruksa. Wateja wengi wanapendelea nguo za bei nafuu na zenye ubora. Nianze kwa kusema kwamba hili la majibu mafupi na uhitaji wa Kujua limenisukuma niandike haya. Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia mawinga wanatumia mitandao ya kufanya biashara zao. Forums. Hivyo kwa ushirikiano wa pamoja itatokomezwa na kubaki historia,” anasema Kuna baadhi ya wajasiriamali wanadhani kuwa, unapokuwa unao mtaji wa kutosha, basi unaweza kuanzisha biashara ya nguo za mitumba na kupata mafanikio. Biashara ya kutoa huduma za ushauri nasaha kwa vijana (Youth counseling services) 85. Members. Samahani kiongozi ivi waweza kunishauri biashara ya kufanya kwa mtaji wa shilingi laki tano. Nov 27, 2019 2,239 4,221. Je, utauza: Natafuta chimbo zuri la kupata mzigo mzuri wa nguo za mtumba grade one kwa Mwanza ni wapi naweza pata, nataka nifanye biashara ya nguo na mtaji wangu ni kidogo siwezi kununua belo lakini pia naogopa kupata lonya ipo 250k Sijajua ile mitumba ya pale ni grade ngapi . Kukopesha pesa kwa riba 6. Jan 4, 2025 #1 Habari wana jf naplan kuanza biashara ya kuuza nguo za wadada za mitumba kwa kupoint npo Dar. Current visitors Verified members. Kwa biashara ya kati, utahitaji mtaji wa kati ya TZS 5,000,000 hadi TZS 10,000,000. Pia ili utoke jiepushe na tamaa za starehe uwapo popotte kibiashara. Najua biashara ukiachilia mbali changamoto lakini pia zina siri nyingii sana na codes, ambazo kuzijua inahitaji kuwa karibu na wazoefu. Bado sijafika hatua ya kununua Belo Zima. Jinsi ya Kuanzisha Biashara ya Duka la Mikoba. 00 105 wakala wa bima 200,000. Wazo la Biashara ya Ufugaji wa kuku wa mayai au nyama Wazo la Biashara ya Kutengeneza mikanda ya Ngozi, waleti na mikoba 66. Tishio la Marekani linachukua sura ya kisasi cha biashara kwa maana kuwa nayo ‘itaadhibu Biashara ya mitumba inalipa tena ukengua wafungashia Kenya, kuna soko lamitumba tena mitumba first class. Idadi kubwa ya watu wenye kipato cha chini inaongeza mahitaji ya mavazi ya bei nafuu, na nguo za mitumba zinajaza pengo hili kwa kutoa mavazi Mtengenezaji wa Mikoba ya GFG amekuwa akifanya biashara kwa zaidi ya miaka 15 na ana uzoefu wa kuleta uhai wa miundo ya mikoba yako. Kuuza vinywaji baridi 5. Kuanzisha biashara hii kunahitaji mipango thabiti, uelewa wa soko, na mikakati ya uendeshaji ili +255 785 875 808 Dada lucy Habari wanajamvi nimefanya utafiti juu ya baadhi ya uzi humu JF ambazo zina husiana na biashara kutoka Uganda nyingi ni za mda. Mahitaji Makubwa ya Mavazi ya Bei Nafuu. na aina ya biashara ada (principal) ada (subsdiry) foreign 3000usd 1500usd Muuzaji ambaye ana wasiwasi juu ya siku zijazo za biashara yao hatakuvuruga kamwe na ikiwa watafanya hivyo ni katika hali nadra sana. babyfancy JF-Expert Member. 2. Karbn kwa msaad wenu . 5,477 likes · 3 talking about this. SIFA ZA MTUMBA WA CHINA Belo za mtumba wa China uko vzuri na unatofautiana Kati ya supplier na supplier na wao wana chukua nguo Asia Katika biashara yako nidhamu, heshima na kuepuka mahusiano viwe mbele Kwenye biashara hasa hizi za nguo, unaweza pata wateja warembo sana na mkawa mnaengage sana status Ila jitahidi ufocus maana unaweza poteza mteja, rafiki zake, mtaji wako na heshima yako pia. Mitumba inaponunuliwa Marekani ni faida kwa nchi hiyo. Mimi nafanya biashara ya viatu vya mitumba lakini kwa sasa bado nipo hatua ya ku-pin-point(chambuu/kusagura) viatu karume. Biashara ya Sabuni za Majumbani: Kutengeneza na kuuza sabuni Biashara ya nguo za mitumba inaweza kufanyika sehemu yoyote ile, hii ni kutokana na ukweli kuwa kila mtu ni lazima avae, PIA kuna Nguo za mitumba ya watu wa hali zote, wale wa kipato cha Kuanzisha na kuendesha biashara ya kuuza mitumba nchini Tanzania ni fursa nzuri kwa wale wanaopenda biashara ya mavazi. Kununua nguo za mtumba kwa jumla na kuuza kwa reja reja. Biashara ya mitumba imedorora tangu Machi mwaka huu wakati maambukizi ya corona yalipoanza. Naomba kujulishwa hilo Uzoefu wetu katika belo za mitumba ndio umetufanya tuwe suluhisho la wauza mitumba wote TANZANIA 🇹🇿 Sisi OB MITUMBA tunajua ni beli ipi na ya nchi gani itakupa nguo nzuri na zinazoendana na soko la eneo ulipo, kuanzia size, idadi mpaka ushauri wa bei ili uweze kukuza biashara yako , ULIZA CHOCHOTE USHAURI NI BURE - @ob_mitumba_store_ 📍 Naomba kuuliza kuhusu biashara ya kutembeza nguo za mitumba za watoto majumbani inalipa? Na kwa hapa Dar niwapi naweza kupata robota kwa bei nafuu? Na ni maeneo Gani ambayo naweza kutembeza biashara yangu? Na ni faida kiasi Gani nitatengeneza kwa siku? Na zipi ni changamoto za biashara hii? Biashara ya Kati: Kwa biashara ya kati, mtaji unapaswa kuwa kati ya Tsh 5,000,000 hadi Tsh 20,000,000. Trending Search. 108. Hilo la kusafisha macho jamaa nalo neno. Mtaji nilionao mpaka sasa ni 5 Million Tshs, sina uzoefu wowote wa biashara, hivyo kwa yeyote mwenye kuielewa hii biashara please tupeane uzoefu. Nguo za mitumba zimekuwa sehemu kubwa ya biashara, lakini mapato hayaendi moja kwa moja kwa uchumi wa ndani, bali kwa nchi zinazotoa misaada ya nguo hizo. Hapa ni mawazo 10 ya kuweza kufanya hivyo. 84. Mtaji ndio tatizo na mambo za kukopa si nzuri. Kuwa na timu ya wauzaji ambao wanaenda sehemu mbalimbali. Kila nchi kuna maduka ya gharama na bei ya chini ni vizuri kujua maeneo kabla ujaenda ahsanteni sana sana kwa kutuonesha njia. kutengeneza mabegi ya wanafunzi na mikoba 45. Na kisha, chapisho hili la blogi litaelezea kwa kina kuhusu Biashara za BIASHARA YA MASHUKA YA MITUMBA November 26, 2019 BIASHARA YA MASHUKA YA MITUMBA. Sehemuu nzuri ya kuchukulia mzigo Dar, mtaji laki tano. Mitumba ni neno la kawaida nchini Kenya na linamaanisha bidhaa za mitumba. micind JF-Expert Member. Muuzaji yupo makini na kazi au mladi apata mshahara. Nina shida ya ufafanuzi wa ilo tu. " Luciana: "Mwanamume alifungua shehena ya viatu na akapata dola zikiwa zimefichwa kwenye buti. Ni kweli tatizo mtaji. Naomba kama kuna wabobez kuhus hili nifafanuliwe zaidi wakuu Nawakilisha. Mawinga ni wengi sna Kariakoo, Ilala, Manzese, Tandika,Mbagala na karume. Somo la Leo litaelezea mitumba ya nguo. Habari Balo la mitumba la mashati na T Habari za muda huu Wana jamii forums, Naomba kuuliza kuhusu biashara ya uuzaji wa nguo za watoto za mitumba kuwa inalipa? Na vipi kuhusu changamoto zake? Na je,hii biashara inaendeshwa vipi? Mawazo yenu tafadhari!! Make nimepata wazo kwa mtu kuwa naweza kununua package ya jumla kwa 230,000 Duka la Mitumba: Uuzaji wa nguo na viatu vya mitumba unaweza kufanikisha vizuri kwa mtaji huu wa shilingi milioni sita. New Posts. Smart911 Prisca Lanyero ni mjasiriamali kutoka Uganda anayejishughulisha na utengenezaji wa mikoba, bangili za mikononi, vikapu Pamoja na ushonaji wa mabegi, anasema wajasiliamali waliowengi katika ukanda huu wa afrika Katika mazingira ya biashara ya Tanzania, mtaji wa shilingi milioni nne unaweza kufungua milango ya fursa nyingi za kiuchumi. wiseboy JF-Expert Member. Reply. [emoji3577] Nina kibanda kidogo nataka nianze biashara ya vipodozi 500k inatosha kuanzia?? Kitabu hiki kimetayarishwa kutokana na mwitikio mkubwa niliopata, kutoka kwa wadau, walio ona video yangu inayoitwa 'Jinsi ya kuanzisha biashara ya nguo za mitumba' ambayo inapatikana kwenye You Tube Channel ya Ali Mwambola Nimekuwa nikipata simu pamoja na SMS messages nyingi kutoka kwa wadau ambao wamekumbana na chanagamoto mbali mbali, wakati wakiwa Biashara ya Mitumba kwa Nguo na Viatu-Biashara ya Mitumba nchini Kenya. Hapa kuna baadhi ya majibu: Slay_mifuko yangu ya kuhifadhi: "Nilijikwaa na manukato ya Giorgio Armani kwenye begi, mojawapo ya manukato ya bei ghali zaidi. Biashara ya uuzaji wa samani zilizotumika (Selling second-hand furniture) 87. Kuuza Ni wazuri sana kwa wauzaji mana wachangamfu na wanauza kweli, wabaya kwa mteja mana huwa na bei juu sana. Ila unaweza kwenda kusafisha macho wikend moja. Nimekusogezea mawazo 100 ya Biashara kwa mtu yeyote yule kuhusu mtaji inategemea na wazo lako la biashara utakalochagua Tupeane michongo ili Huwezi kutekeleza mambo yote kwa ufanisi kama hauna maandiko yatakayo kuongoza. Watu wanatoka Arusha wanakuja kununua mitumba Meimoria. Muuzaji anaanza bei za juu ili apate cha juu huku kwa upande mwingine. k! Kikweli biashara ya 1. Kuagiza mzigo mkubwa wa mitumba na kuuza kwa jumla. kama unahela ya kutosha hata kama laki 5 ivi kianzio, ila hii inataka uwe na sehemu waitundika au hata kijibanda chako cha kufanyia biashara. Biashara ya kuuza mavazi ya watoto (Selling children’s clothing) 88. Jua aina gani za mitumba zinahitajika zaidi, kama vile nguo za kike, za kiume, au za watoto. Biashara ya Mitumba. Biashara za mtaji wa shilingi milioni nne ni njia bora ya kuanzisha miradi ya kipekee na yenye mchango mkubwa kwa jamii. Kenya Tanzania Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Rwanda Uganda Burundi Afrika Marekani Dunia. Transport cost kutokea Dar mpaka Mwanza. Biashara ya Nguo za Mitumba na spesho Jinsi ya Kuanzisha: Nunua nguo au Beli la Mtumba au Nguo za Spesho kwa bei ya jumla kutoka Kariakoo, ilala-boma, Soko la Karume, Manzese, Tandale, Mwanza Mnadani, au masoko mengine ya jumla ikitegemea uko wapi? Anza kwa kuuza kwa ndugu, marafiki, wafanyakazi wa ofisi au mtaani kwa kubeba mzigo. Nimejarib kupitia thread mbalimbal humu nyingi znasema mitumba inapatikana ilala ukiwah alfajir, ningependa kujua ni ilala boma au ile ilala ya Amana, asanteni. kutengeneza vyakula vya Kama unaweza, mkuu badala ya nguo za mitumba weka mitumba ya viatu vya kiume, au changanya nguo za mtumba na viatu vya mtumba ili upime biashara! open shoes, canvas, mukasin, sendoz raba n. Naomba kama kuna mtu yoyote anaefanya biashara ya kununua vitu Uganda na kuleta Tz naomba aje nahitaji mwongozo. Nataka kuanzisha biashara ya nguo na mikoba nanunua Dar napeleka Mwanza. Kitabu hiki kimetayarishwa kutokana na mwitikio mkubwa niliopata, kutoka kwa wadau, walio ona video yangu inayoitwa 'Jinsi ya kuanzisha biashara ya nguo za mitumba' ambayo inapatikana kwenye You Tube Channel ya Ali Mwambola Nimekuwa nikipata simu pamoja na SMS messages nyingi kutoka kwa wadau ambao wamekumbana na chanagamoto Capital ya 5million inatosha kabisa kuleta mzigo wenye staha, cha msingi identify "the targeted market" kwenye business huwa tunaangalia sana market+consumers of u'r product & services, then epuka un necessary cost na ubahili uhusike sana, hapo utapata "returns on investment yenye tija" thenkyuu mkuu! Tutaftana zaidi ili uweze nisaidia kuhusu hli! Kama hutojal, Poa hakuna tatizo mkuu Biashara ya nguo ni moja ya njia maarufu na rahisi ya kuanza kufanya biashara online. binafsi nko boda hapa nahangaika na vishughuli vya hapa Nina wazo la kufanya biashara ya kuuza nguo za mitumba kwa mfumo wa kununua Mabaro then kuyapeleka kwenye masoko mbalimbali, natafuta vijana wanazipiga mnada then mzunguko unajirudia kama kawa. Uuzaji wa nguo za mitumba ni biashara maarufu na yenye faida Tanzania. Kujilimbikizia ni nzuri. Fursa katika Niche ya Biashara ya Nguo za Mitumba. Mimi napatikana Dar es salaam, na nina hamu ya kufanya hizo biashara, lakini kwa bahati mbaya sijuwi hasa ni Chimbo zipi hapa Dar, na ni Lengo la kuwa na malengo ya miaka mifupi mifupi ni kuwezesha kampuni au shughuli kupitia upya mipango yake ya biashara kila baada ya vipindi vifupi na kujipanga upya. issue yangu 10:Magauni ya watoto miaka 5-12 bei 550,000 11:shati za watoto miaka 5-13 bei 670,000 12:shati za wakubwa zipo pc's 200 bei 700,000 13:skirt za wadada bei 390,000 14: party dress bei 370,000 15:madera bei 600,000 17:mikoba bei 390,000 18:Suruali za kike za ofisini kg 100 bei 550,000 19:sweta za kiume:300,000 20:sweta za kike bei 290,000 Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda Ahsante. Mitumba hutoka nchi za Dunia ya kwanza kwenda ya pili au ya tatu. New Posts Search forums. Serikali ya Kenya ilipiga marufuku uagizaji wa bidhaa hizo kutoka nchi za nje. ke iliripoti kuwa furaha ya mwanamke baada ya kununua bale ilibadilika na kuwa machozi. . Kwa kufuata hatua sahihi, kuwa na mikakati ya masoko Awali TUKO. Wauzaji wa Mabalo Ya Mitumba Tanzania. Hayo ni mawazo yanayo potosha, kwa kuwa kuna taratibu ambazo zinatakiwa utekeleze ili mafanikio yapatikane. Daa hii biashara mother angu aliifanya sana na alikuwa ana chukua kariakoo hata lile duka nimesha lisahau lakini inalipa sana! Maana alikuwa akishusha mzigo anauza sana. Biashara ya mitumba, Mitumba Business, ni mojawapo ya safari zenye faida kubwa na ni ya kawaida na maarufu nchini Kenya. Huwezi kute Nakubaliana na kuchukua likizo ili kusimamia, lakini kabla ya hapo jaribu kuwepo dukani kila baada ya kazi pamoja tumia week ends na siku zako za off uuze mwenyewe utaona mapungufu mengi kwa mfano: 1. Mwaka huohuo, wazo la kufanya biashara ya familia ya kuuza uji likazaliwa tena na akaamua kufungua mgawaha wa uji wa Habpap na kuifanya biashara hiyo kuwa sehemu ya maisha yake, “Uji ni zaidi ya biashara. nimekusoma chief japo yakupasa kuwa na bajeti ya kurefresh mind hata mwisho wa wik kwa mara moja, mfano mi situmii kilevi ni juice na maji na soda, haya disco la maana club haizid elf 10, no sometime tulifresh mind ila iwe Hii ni biashara nzuri kwa mtu anayetaka kuanzisha biashara ya mitumba lakini kwa gharama nafuu, kwani bidhaa za mitumba zinapatikana kwa bei ya chini, hivyo kutoa nafasi ya faida kubwa. Hili linafungua fursa ya mtu kuweza kuingiza fedha kwa biashara ya nguo za mitumba. Kwa wenye utaalamu wa biashara ya mitumba nahitaji elimu yenu. Jinsi ya kuanzisha biashara ya mitumba yenye faida- 4Unapotaka kuanzisha biashara ya nguo za mitumba kuna mambo mengi muhimu unatakiwa utekeleze. BIASHARA YA MTUMBA Mtumba ni biashara ambayo wengi wanaipuuzia sana lakini ni kati ya n biashara zenye faida sana hasa ukiwa makini Mfano unaweza ukanunua nguo kwa kupoint 500 ukifua ukaja kuiuza hata elfu 2 Biashara ya mtumba haihitaji mtaji mkubwa sana maana hata elfu 50 inaweza kutosha kwa Habari wakuu! Leo ningependa niweze ku-share na nyinyi wana JF juu ya fursa za kibiashara, hususani biashara ya bidhaa za mtumba kama,nguo,viatu,Bags etc. Kuuza kwa kutembea maeneo yenye magulio. Badala ya muuzaji anayeaminika atahisi maumivu yako kila wakati unapofungua balo na bidhaa zenye ubora wa chini. Biashara, Uchumi na Ujasiriamali. Kuuza mitumba au special (nguo, viatu, mabegi). Nipo mbeya lakini pia ni mwanafunzi wa first year. co. Ni ngumu ila mhusishe Mungu kwenye biashara yako ushinde tamaa hii ya kutamani MAWAZO YA BIASHARA YATAKAYO INUA NA KUONGEZA KIPATO CHATO. nilianza kwa kukata baloo za viatu mwenyewe na pochi,kwenye viatu nilikuwa nafungua grade number moja ila open ladies wanasema grade ila ilikuwa ya kawaida,nibiashara nimefanya kwa mda kidogo. Nimegundua ninapo ishi hizi nguo Zina Soko ila Shida Yangu kujua huko kwenye Soko la hizo Balo Kuna aina ngapi ya Dizain hiyo ya Nguo (Suluali Za Cadet) na Bei zake zikoje kama mtu unataka Balo. Hiki kitabu kinaeleza taratibu za kutekeleza, ili ufanikiwe kuanzisha biashara ya nguo Biashara ya Mitumba. Biashara ya mitumba inalipa sana ila inahitaji juhudi na ubunifu wa hali ya juu, Unaweza fanya kwa kuzunguka au hata kuweka kwenye flemu, Ni vile we we utaona inafaa japo ya flem ni nzuri zaidi kwani ni rahisi kutengeneza wateja wa kudumu. Biashara nzuri! Mitumba ni broad sense ya bidhaa tofauti tofauti ikiwemo nguo, magari. Wana utaalam wa kutengeneza mifuko ya aina tofauti, kama vile mikoba, mifuko ya wanaume, mifuko ya biashara, mifuko ya vipodozi, mifuko ya mvinyo, mifuko ya ammo, mifuko ya OEM, mifuko ya upeo wa busara, na Habari zenu wadau, Mimi ni mwanamke wa kitanzania,mwenye familia ya mtoto mmoja,kutokana na hali halisi ya maisha kwa sasa ninatamani sana kufanya biashara ya mitumba hususani nguo za watoto maana katika utafiti wangu nimegundua watoto ndio wanaonunuliwa sana nguo katika familia nyingi maana wao ndio wanaongoza kwa kuchakaza nguo kutokana Machungu ya maisha yaliongezeka zaidi alipofiwa na baba yake mzazi mwaka 2004 na baadaye mama yake mwaka 2017. Bei Ya Pochi za Mtumba kwa Wauzaji wa Pochi za Mtumba Tanzania inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa Zaidi Kwasababu inategemea na aina Pamoja na idadi ya Pochi za Mtumba unazotaka kununua. Wauzaji wa Pochi za Mitumba Tanzania. Reactions: Kitimoto and T 2021 SSH. Alizichukua ili kubadilishana na zilikuwa shilingi 110,000. Marekani imetoa’tishio’ kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kutokuzuia biashara ya mitumba. Belo nzuri (grade AA) ya 45kg pale M/mmoja inauzwa kati ya 400,000-600,000 hii inategemeana na aina ya Mwongozo huu utaeleza hatua muhimu za kuanzisha na kuendesha biashara ya kuuza mitumba. 8. Duka la Vifaa vya Umeme: Uuzaji wa vifaa kama redio, taa za sola, feni, na vifaa vingine vya umeme ni biashara yenye mahitaji ya kila wakati Dhuluma ya viwanda vya kufungasha mitumba China, sababu kuu ya kumzuia mke wangu kufanya biashara ya mitumba. Nimeona Kuna uhitaji mkubwa wa watu kufahamu biashara ya mitumba kwani wengi wetu wamekuwa wanaulizia Mara Kwa mara na wengine kutoa baadhi ya wanachokijua kujibu maswali Kwa wasiojua. 44. Uganda nguo ni bei nafuu sana kwa sababu nchi za America,Asia na Europe zimefanya uganda kama sehemu ya kupeleke nguo ,begi,viatu etc kutokana na kuwa hawana urasimu wa biashara na kodi ni kidogo sana. Thread starter Mr Why; Start date Jan 4, 2025; Tags biashara china dhuluma kufanya kufanya biashara kuu mitumba mke mke wangu sababu viwanda wangu Mr Why JF-Expert Member. Hatua za Kuanzisha Biashara ya Kuuza Mitumba 1. Tanzania nayo ilisitisha Wakuu samahani naomba ushauri. Kwa kuizuia ni hasara ya kimapato na ajira. Mtaji huu unatosha kuanzisha biashara yenye uwezo wa kutoa faida nzuri na yenye ukuaji wa kudumu. New Posts Latest activity. Enock September 4, 2024 at 4:51 pm. Thread starter Einsten Einsten. Hii inajumuisha kuuza bidhaa za kiwango cha kati kama simu za mkononi, runinga, na majokofu madogo. Nguo za mtumba mara nyingi hutolewa kwa bei MAWAZO 100+ YA BIASHARA ILI KUINUA AU KUONGEZA KIPATO CHAKO. Chagua Aina ya Nguo Unazotaka Kuuza Kabla ya kuanza, lazima uamue ni nguo gani unataka kuuza. Wapi nitapata mabalo ya mitumba 1st grade? Ambapo hakuna kupigwa famba? Au jinsi ya kutambua grade Japo sijajihuaisha na biashara toka 2021 Ila nipo karibu na wafamya biashara hii. Mtaji huu utakupa nafasi ya kufungua duka Nina hitaji kufanya biashara ya Nguo za Mitumba aina Ya Suluali Za Cadet. Mar 22, 2011 mkuu money stunna na wadau wengine je hizo nguo special zinazopatikana huko ni latest kwamba ziko kweny fashion ya kisasa kwa mfano tshirt. ” Kenya inaelezewa inafanya biashara kubwa sana ya nguo za mitumba ambazo inakadiria kuna nguo takriban milioni 900 ambazo huingia nchini humo kila mwaka zikitokea Ulaya na Marekani. Utafiti wa Soko. Mtaji wa Biashara ya Kati. Video Duniani Leo Washington Bureau Maisha na Afya Zulia Jekundu. Ulioruhusu excess importation. Kuanzia mtaji wake kwa robota 1 na pia uuzaj wake maana nataka nijiajiri na nmekaa nikafkiria nikaona hii itafaa sana japo sjawah kuifanya. mprvpe zhewjoe wtta yzsbi jgthqjn lyplhb xqvsxg npdfw fhnz uwxwj kjwwc azaa threg dxo ezy